We do not have a sample of this song ):

Maua Sama's picture

Vimba

(View album: Cinema)

A Major (Ionian)

number of views for this lyric  2521 views

play button



40% accurate

Usika hulali unaumia tena unawaza
Kukicha maswali na stress umjaza
Inaniumiza kukuona unaumia wewe
Baba

Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star ndo unhofia labdanitakimbia

Nimeridhika mimi (aah aah)
Na hali yako hiyo (aah aah)
Nataka uvimbe Baby (aah aah)
Min ni wako pekee (aah aah)

Vimba vimba vimba (Kama unanipenda)
Vimba vimba vimba (Amini unapendwa)
Vimba vimba vimba (Watu waoeshe)

Tambua Kipaji kanipa Maulana Ni karama
Unaponyong'onyea unaniumiza sana
Ooh Bwana
Tena unatetemeka (Tetee)
Ukiniona unasita, Kijasho kinakutoka (mmh)

Wanipa Raha, si masikhara, Dhahiri nesema
Twende kwa Baba Mzee Sama
Tumalize Biashara

Get this song on
iTunes

Get this song on
Google Music

Youtube
Soundcloud
Share what this song means to you..