Kwa Goti alliingia, Nakutaka nimsamehe
Kumbe ananichora
Mapenzi yalinijia, Kwenye Moyo shurba tele
Ya-radhi akanijia
Kidudu mtu shetani akayavuruga
Akaingia mashkani tukashindwana
Kidudu mtg shetani akayavuruga
Akaiingia mashakani tukakwanzana
Nimeamini Kwenye Moyo, huwezi penda Mara mbili
Penzi ukalitia kasoro, maskini mimi
Moyo wangu sio Godoro, uwe juu me niwe chini
Si kisoda kwa kokoro, nimeshindwa mimi (yeah)
Aah haya nimeridhia (sawa)
Siweai ng'ang'ania (sawa)
Aah haya nimeridhia (sawa)
Nimeshindwa mimi
Kweli sio siri, ilizingwa mpema
Tamu yaka ya Asili, Ila ndani yachoma
Kheri kuwa dhahiri, maumivu kusema
Mlaghai kwa hili, nafsi Yangu imenena
Nashukuru kwa kidogo, ulichonipa nimepokea
Nitabaki kwa mikogo, huyo mwengine kumngojea